THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGIES COMMISSION

For support don't hesitate to contact us via: info@ictc.go.tz|ictsupport@ictc.go.tz| 0738171742

Ufadhili wa wanawake in ICT for 3rd Tanzania Cybersecurity Forum

Ufadhili huu utahusisha kulipiwa ada ya ushiriki tu kwa wanawake 100

Sifa za kuweza Kufadhiliwa

  • Uwe mmiliki wa shughuli,mitandao ya kieletroniki au kampuni zinazotumia TEHAMA katika kutoa huduma au kufanya uzalishaji uchumi
  • Uwe ni mbunifu na mwanzilishi wa kampuni changa za TEHAMA (ICT Startups)
  • Mtafiti kwenye eneo la kuboresha ulinzi wa miundombinu na huduma za kielektroniki.
  • Hakiki taarifa zako kwa usahihi kabla ya kutuma Ombi
  • Dilisha la maombi kufungwa 02nd April 2024