UZINDUZI WA BODI YA TEHAMA

UZINDUZI WA BODI YA TEHAMA: Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Moses Nnauye na Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga. Uzinduzi wa Bodi ya TEHAMA ulifanyika rasmi siku ya tarehe 25 Octoba 2022 katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.