THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGIES COMMISSION

TUZO KWA KAMPUNI CHANGA

  • News

TUZO KWA KAMPUNI CHANGA:

Baadhi ya washindi wa Tuzo za kampuni changa (ICT Startups Awards 2022) zinazotumia TEHAMA kutatua changamoto mbalimbali katika  jamii kwa bunifu zenye tija. Mashindano kwa kampuni changa yanaendeshwa na Tume ya TEHAMA kwa malengo ya kutambua wabunifu nchini na kuwawezesha.

Pamoja na Tuzo hizi, Tume ya TEHAMA inaendesha program ijulikanayo kama Softcentre inayotoa msaada wa moja kwa moja kwa kampuni changa (Startups), Tume ya TEHAMA inaendelea kutekeleza kwa vitendo adhma ya Mh. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ya kutekeleza mpango wa mapinduzi ya kidijatali nchini ikiwa ni pamoja na kutatua tatizo la ajira na kukuza ubunifu wenye tija.